Wajasiriamali wanaofanya biashara zao katika eneo la ufukwe wa Coco Dar es Salaam wameiomba serikali kuangalia upya uamuzi wa kuwataka aondoke katika eneo hilo ndani ya siku 30.
Sheila Mkumba amezungumza na wajasiriamali hao.
Mhariri @moseskwindi
(Feed generated with FetchRSS)