Zaidi ya Wapalestina 50 wameuawa Jumamosi katika mashambulizi ya Israel++++Syria yatoa waranti wa kukamatwa kwa Rais wa zamani Bashar Al Assad+++++Raia wa Ushelisheli wapiga kura kuchagua Rais na wabunge++++Iran yasema Marekani iliitaka isalimishe Urani yote iliyorutubishwa++++Droni zisizofahamika zaripotiwa kuonekana katika kambi za jeshi Denmark.