Dunia ina mambo na vijambo ‘kweli kweli’, ukitaka kulijua hilo muulize mwanadada wa Uganda, Fortunate Kyarikunda aliyehukumiwa kifungo cha miezi sita gerezani baada ‘kula milioni 14’ za ada aliyokuwa akilipiwa na aliyekuwa mchumba wake kisha kuvunja uchumba baada ya kuhitimu masomo yake.
Sikiliza mkasa huu.
✍ Halima Abdallah
Mhariri @moseskwindi
#AzamTVUpdates
(Feed generated with FetchRSS)