Unafahamu kwamba teknolojia ikitumika kwa usahihi inaweza kuwa daraja la kufungua fursa za ajira kwa maelfu ya vijana

Kutana na Lilian Madeje, mbunifu wa mfumo wa Niajiri, jukwaa linalowakutanisha waajiri na waomba ajira na kurahisisha mchakato wa kuchambua wasifu binafsi.

Kupitia mfumo huo, zaidi ya watu 72,000 tayari wamejiunga, huku zaidi ya vijana 700 wakifanikiwa kupata ajira kupitia kampuni zaidi ya 200 zilizounganishwa na jukwaa hilo.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *