Panya wanaweza kuonekana wadogo, lakini mchango wao katika kuokoa maisha ni mkubwa.

Taasisi ya Apopo sasa imeanzisha mradi wa panya wa maonesho ili kuonesha kwa jamii jinsi wanavyotumika kugundua mabomu ya ardhini na hata kubaini nyara za serikali katika bandari na viwanja vya ndege.

Kama tunavyoelezwa na Theresia Mwanga, mradi huu tayari unafanyika nchini Tanzania, Cambodia na Marekani.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *