Moto umeibuka na kuteketeza vibanda vya wafanyabiashara wadogo katika eneo la Mawasiliano, huku chanzo cha tukio hilo kikiwa bado hakijajulikana.

Taarifa zaidi kuhusu chanzo cha moto huo na athari zake zinatarajiwa kutolewa baadaye.

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *