Watoto zaidi ya 500 wanaolelewa katika vituo na makao yaliyopo mkoani Dar es Salaam wamepewa mahitaji muhimu kwa ajili ya kusherehekea Sikukuu ya Pasaka.

Akikabidhi mahitaji hayo kwa viongozi waliowakilisha baadhi ya makao halo, Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo wametoa shukrani kwa Dkt. Samia na kuwahimiza Watanzania kufuata nyayo za kuwalea kwa wema watu wenye uhitaji akiwemo watoto yatima.

Miongoni mwa mahitaji hayo ni mchele, mafuta ya kupikia, sabuni na vichinjwa vya mbuzi.

Mhariri @moseskwindi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *