Baada ya kuchezwa mechi za mwanzo za Kombe la Dunia 2026, ushindani wa kuwania Kiatu cha Dhahabu (Golden Boot) umeanza kupamba moto.
Hadi sasa, hawa ndio wanaoongoza kwa mabao:

Lionel Messi (Argentina) Mabao 3

Kylian Mbappé (Ufaransa) Mabao 2

Erling Haaland (Norway) Mabao 2

Folarin Balogun (Marekani) Mabao 2

Kai Havertz (Ujerumani) Mabao 2

Yasin Ayari (Uswis) Mabao 2

Elijah Just (New Zealand) Mabao 2

Mashindano bado yapo katika hatua za mwanzo, hivyo orodha hii inatarajiwa kubadilika kadri mechi zinavyoendelea .

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *