CRDB BANK FEDERATION CUP: “….tutaanza kuwa na mchezaji bora katika kila mchezo”
TFF yaongeza ‘chachandu’ kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho la CRDB Bank ambayo inaingia hatua yake ya 16 bora kwa mechi mbili zitakazopigwa Aprili 10, 2026.
Afisa Habari wa TFF, Clifford Ndimbo anaweka wazi jambo hilo jipya huku akifafanua pia kuhusu utaratibu wa kufungia na kufungulia viwanja…
✍️ @amosimasokotz
#CRDBBankFederationCup
(Feed generated with FetchRSS)