Nimezuia hiyo nyumba isiuzwe anayetaka tupimane ubavu na aiuze , Waziri Mkuu Dkt. Mwingulu Nchemba.

Ametoa kauli hiyo baada ya Mkazi wa Arusha kumweleza kuwa Nyumba anayoishi yeye na watoto wake kutaka kuuzwa ikiwa yalishatolewa maelekezo ya kusitishwa kwa utaratibu huo

#StarTvUpdate

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *