Hali ya joto kali nchini Ufaransa imeendelea kuathiri maisha ya wananchi, huku ikiripotiwa kusababisha vifo vya watu 40 hadi sasa.

Waziri Mkuu wa Ufaransa, Sébastien Lecornu, amesema joto hilo limefikia viwango vya rekodi ya juu katika miji kadhaa mikubwa ya nchi hiyo na maeneo mengine barani Ulaya, hali inayoendelea kuleta athari kubwa kwa afya ya jamii.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *