Wakati hospitali ya rufaa ya kanda Bugando ikifanikisha upasuaji wa kwanza wa upandikizaji wa figo, madaktari bingwa kutoka hospitali hiyo na hospitali ya Benjamin Mkapa ya jijini Dodoma wamesema ili kufanikisha tiba hiyo kwa wagonjwa wengi zaidi nchini, serikali haina budi kukamilisha mchakato na kuruhusu mabadiliko ya sheria na kuruhusu miili ya waliofariki kuondolewa viungo ikiwepo figo ili kunusuru maisha ya watu wengi zaidi.

Innocent Aloyce amezungumza na jopo la madaktari waliofanikisha upandikizaji huo.

Mhariri @moseskwindi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *