MUUNGANO CUP 2026: Michuano ya Kombe la Muungano 2026 inaanza Jumanne hii Aprili 21, 2026.

Mechi ya ufunguzi ni Saa 1:15 usiku, Yanga SC dhidi ya Muembe Makumbi City FC.

Kwa kifurushi cha Shilingi 28,000 unatazama michuano hii mwanzo mwisho mubashara kupitia AzamSports1HD.

#MuunganoCup2026 #KombeLaMuungano #SokaLinatuunganisha

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *