VIWANJANI: “Na kuchukua taji hili kwa Simba kwao nadhani ni yale mataji ambayo yatawaongezea morali zaidi…”- Mchambuzi wa soka, Andrew Kingamkono akifafanua maoni yake kuhusu Simba SC kuelekea mchezo wao wa kesho Aprili, 23 dhidi ya Mafunzo FC kwenye mashindano ya Muungano.
Kingamkono amesema Simba wanapaswa kuonesha ubora wa kwenye michezo ya hivi karibuni ili kuinua imani kwenye mashindano hayo na mengine.
Mchezo huo utapigwa kesho saa 1:15 usiku na kuruka LIVE
#AzamSports1HD
Mwandishi Katherini Shirima
Mhariri: @rajjmsangi
(Feed generated with FetchRSS)