#MuunganoCup Zingatia jezi namba 20 wa Mlandege FC…..
Anaitwa Musa Hassan Salum ‘Mbappe’… Ni yule aliyeiwasha Singida BS chuma ya pili katika ushindi wa 2-1.
Je, unajua leo ataifanya nini Simba SC!!?
Mechi ni saa 2:15 usiku LIVE #AzamSports1HD
#MuunganoCup2026 #KomneLaMuungano SokaLinatuunganisha

(Feed generated with FetchRSS)