Vyama 12 vya Siasa vilivyoshiriki Uchaguzi Mkuu vimeomba mamlaka kuhakikisha zinaweka nguvu kwenye uudwaji wa Tume ya Maridhiano itakayoaminika na pande zote pamoja na kuanza kwa mchakato wa katiba mpya.

Rai hiyo imetolewa na Vyama hivyo siku chache baada ya Tume ya Jaji Chande kukabidhi ripoti yake kwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ikipendekeza mchakato wa katiba mpya na kuundwa Tume ya Maridhiano.

Mhariri | @rajjmsangi
#AzamTvUpdates

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *