Baadhi ya wakazi wa kata za Kyimo na Kiwira, Wilaya ya Rungwe wameiomba serikali kufanya upya marejeo ya fidia kufuatia maeneo yao, ikiwemo nyumba za makazi na mashamba yenye mazao mbalimbali, kuchukuliwa ili kupisha ujenzi wa mradi wa umeme kutoka jijini Mbeya kuelekea nchini Malawi.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi
(Feed generated with FetchRSS)