Serikali imeshauriwa kuimarisha utoaji wa elimu ya uzalendo kwa vijana nchini ili kuongeza uelewa kuhusu umuhimu wa mshikamano, ushirikiano na kudumisha Muungano wa Tanzania.

Ushauri huo unakuja kufuatia kauli ya Rais Samia Suluhu Hassan, aliyebainisha kuanza polepole kushuka kwa mshikamano miongoni mwa Watanzania.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *