Usiku wa hukumu Zanzibar, Yanga kutetea au Simba kutwaa ubingwa Muungano Cup?
LEO ni siku ya hukumu hivyo usilale mapema. Ikifika saa 2:15 usiku hakikisha umeshapata chakula na kumaliza shughuli zako zote, kisha jicho lako litazame mechi kubwa ya siku wakati Yanga na Simba…