#HABARI: Mwandishi wa Habari wa ITV, Radio One, Idda Mushi, amepokea tuzo ya Mfanyakazi Bora kutoka kwa Rais Samia Suluhu Hassan, katika sherehe za Siku ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika kitaifa katika viwanja vya Lunyanywi.
Tuzo hiyo imetolewa na JOWUTA kupitia TUCTA, ikiwa ni sehemu ya kutambua mchango wa wafanyakazi bora nchini.
Katika hafla hiyo, Idda Mushi ametambuliwa kwa mchango wake katika tasnia ya habari, hususani katika kuripoti kwa weledi na kuelimisha jamii kupitia vyombo mbalimbali vya habari.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.
(Feed generated with FetchRSS)