#KIPIMAJOTO: “Tunapokuwa eneo la soko la pamoja ambalo ndio chini ya mkataba wa Afrika Mashariki tunakuwa katika itifaki ya soko la pamoja eneo moja la forodha maana yake kama eneo tumekubaliana namna ambavyo bidhaa zilizoko ndani ya hili eneo zinazalishwa ndani zinazunguka bila kutozwa ushuru…….”-Balozi John Ulanga – Mkurugenzi wa Diplomasia ya Uchumi.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.
(Feed generated with FetchRSS)