Rais wa Jumuiya ya Serikali za Wanafunzi wa Vyuo vya Elimu ya Juu Tanzania (TAHLISO), Geofrey Kiliba amewatahadharisha vijana kote Nchini kuhusu hatari ya kupuuza au kuchezea amani ya taifa, akisisitiza kuwa bila utulivu hakuna ndoto ya kijana itakayotimia.
Akizungumza na Wanafunzi wa chuo Cha Maji jijini Dar es Salaam Kiliba amewataka wasomi na vijana kote nchini kuitazama amani kama “ajenda ya lazima” na si jambo la hiari, kwani ndiyo msingi wa mipango yote ya kimaendeleo.
#kilichoborakabisa
(Feed generated with FetchRSS)