Watu wawili wamefariki dunia na wengine 13 wamejeruhiwa wakiwemo raia wanane wa Zimbabwe na wanne wa Zambia, kufuatia ajali ya barabarani iliyohusisha basi la abiria la Kampuni ya THE CLASSIC linalofanya safari zake kati ya Zimbabwe na Tanzania kugongana uso kwa uso na lori la mizigo katika Kijiji cha Uyole, Kata ya Mseke, Halmashauri ya Wilaya ya Iringa.

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *