Viongozi wa Afrika wametaka mageuzi kufanyika katika mfumo wa kimataifa wa mikopo na ufadhili ili kuchochea maendeleo ya pamoja, kwa lengo la kuimarisha ushirikiano kati ya Afrika na Ufaransa katika sekta mbalimbali, ikiwemo biashara, teknolojia, nishati na kilimo.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *