Kwa kawaida, ndoa nyingi huanza kwa watu wawili kukutana, kuzoeana na baadaye kujenga familia.
Lakini ndani ya maabara ya APOPO iliyopo katika Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo, Morogoro, hata panya hupitia safari hiyo hiyo.
Tofauti pekee ni kwamba watoto wanaozaliwa hapa huandaliwa kuja kuokoa maisha ya binadamu.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi
(Feed generated with FetchRSS)