Bei ya gesi ya kupikia imeendelea kupanda duniani huku mgogoro wa Mashariki ya Kati ukitajwa kuwa miongoni mwa sababu kuu za ongezeko hilo.
Hapa nchini Tanzania, baadhi ya wananchi wameanza kushuhudia ongezeko la zaidi ya shilingi elfu nne kwa baadhi ya mitungi ya gesi, hali inayozua maswali kuhusu hatma ya gharama za maisha.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi
(Feed generated with FetchRSS)