Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,.Albert Chalamila amesema hakuna miujiza yoyote katika kutafuta fedha na kwamba vijana hawana budi kufanya kazi.
RC Chalamila amesema hayo leo Alhamisi, Mei 14,2026 akiendelea na ziara yake Jijini Dar es Salaam ambako amewasisitiza vijana kuacha tabia ya kushinda mitandaoni bila manufaaa na kutumika katika mambo ya kiharifu.
(Feed generated with FetchRSS)