NBA PlayOffNBA PlayOff

NBA PlayOff

OKC Thunder watakuwa Paycom Center wakiwakaribisha San Antonio Spurs katika Game 1 ya fainali ya NBA Ukanda wa Magharibi..

Thunder waliwatoa Lakers kwa 4 – 0 wakati Spurs waliwatoa Timberwolves kwa 4 – 2.

Je, ni Thunder ama Spurs nani kuchukua ubingwa wa Magharibi?

Kwa kifurushi cha shilingi 35,000 unatazama NBA mubashara kupitia ESPN ndani ya kisimbuzi chako cha AzamTV.

#NBA #AzamTV #ESPN

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *