#CRDBBankFederationCup “…tuna malengo ya kutetea ubingwa”
Yanga SC imesema haichagui mpinzani wala kiwanja cha kuchezea katika hatua ya nusu fainali, Kombe la Shirikisho la CRDB Bank kwakuwa malengo yao ni ubingwa….
Huyu hapa Meneja Habari na Mawasiliano wa timu hiyo, Ally Kamwe.
Nusu fainali ni Simba SC vs Coastal Union na Azam FC vs Yanga SC
(Feed generated with FetchRSS)
