#HABARI:…“Mimi kwa kweli waheshimiwa wabunge sina changamoto na watu wa utalii neno linaloitwa utalii sina changamoto nalo ombi langu wapunguze safari za kwenda nje kutangaza, wanatumia hela za serikali hovyo, utangazaji huu si umeshakuwa ni wa kwenye mtandao 2022/23 walichukua bilioni nane za serikali wote wameenda nazo safari, 2024/25 wamechukua bilioni 15 zote wanasafiri tu.”
Kauli hiyo imetolewa na Mbunge wa Chato Kusini PASCAL LUTANDULA wakati akichangia hotuba ya bajeti ya mapato na matumizi ya Wizara ya Maliasili na Utalii kwa mwaka wa fedha 2026/27.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.
(Feed generated with FetchRSS)
