Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda amesema kuwa lengo la kumleta Rio Ferdinand nchini si kwa ajili ya k…Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda amesema kuwa lengo la kumleta Rio Ferdinand nchini si kwa ajili ya k…

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda amesema kuwa lengo la kumleta Rio Ferdinand nchini si kwa ajili ya kuchapisha ujio wake kwenye mitandao ya kijamii, bali ni kusaka na kuendeleza vipaji vya vijana wa Kitanzania ili vipate nafasi ya kuonekana duniani na kuiletea nchi manufaa makubwa kupitia michezo.

Mhariri: @rajjmsangi

#MshikemshikeViwanjani

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *