#DAKIKA45: “Wizara yetu imepewa jukumu la kuhakikisha kwamba uwekezaji wa Tanzania unakuwa na tija, kuna uwekezaji wa aina mbili, wazawa wawekeze lakini wageni kutoka nje waje wawekeze Tanzania, hayo ni maeneo makubwa mawili, tunaenda kusimamia utekelezaji waa dira 2050, ” Mhe. Dkt.Pius Chaya – Naibu Waziri Mipango na Uwekezaji.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania
(Feed generated with FetchRSS)
