YANGA SC : Kikosi cha Yanga SC kinaendelea na maandalizi ya kurejea kwenye Ligi Kuu ya NBC kwa wachezaji waliosalia kwenye timu ambapo rasmi Juni Mosi mwaka huu kikosi hicho kinatarajia kuingia kambini kujiandaa na mchezo wao dhidi ya Mashujaa FC.
Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Ali Kamwe amesema mechi tano za mwisho zinahitaji maandalizi ya kutosha ili kuhakikisha wanapata ushindi na kutetea ubingwa wao.
Mhariri | @rajjmsangi
#YangaSC #NBCPL
(Feed generated with FetchRSS)
