Ushirikiano wa Benki ya CRDB na kipindi cha Watoto Shangwe umefika Shule za Fountain Gate Academy zilizopo Dodoma na lengo la kufika huko ni kutoa mafunzo mbalimbali kwa wanafunzi wa shule hizo.
Hapa, Teacher Joy anatueleza kile wanachokwenda kuanza nacho.
Kwa urefu zaidi uhondo huu utapatikana katika kipindi kijacho cha ‘Watoto Shangwe’ kupitia #UTV
Mhariri @moseskwindi
(Feed generated with FetchRSS)