PONGEZI KWA SERENGETI BOYS: “Afrika na dunia inaona”
Mtangazaji wa #AzamTV @richardngailla anasema kufanya vizuri kwa Serengeti Boys kwenye fainali za #AFCONU17 kumesaidia kuitangaza Tanzania barani Afrika na dunia kwa ujumla.
Mtangazaji huyo anayefanya vema kwenye #AzamNews ya @utvtz amekumbushia Serengeti Boys ya ya Saimon Msuva.
Serengeti Boys itashuka dimbani Juni 2, 2026 kucheza fainali dhidi ya Senegal.
(Imeandaliwa na @allymufti_tz)
#LinakujaNyumbani #SerengetiBoys
(Feed generated with FetchRSS)