Michuano ya U17 AFCON yanafikia tamati leo kwa mechi ya fainali kuchezwa
Serengeti Boys watakipiga na Senegal
Mechi hii itachezwa kuanzia saa 4:00 usiku na kuruka mubashara kupitia AzamSports2HD.
Tunasema Kombe linakuja Nyumbani
#U17AFCON #Azamtvsports #Serengetiboys

(Feed generated with FetchRSS)