Takribani Wamarekani saba kati ya kumi wanaitaka utawala wa Marekani kukomesha vita vyake visivyo halali dhidi ya Iran “haraka iwezekanavyo.” Hayo ni kwa mujibu wa utafiti mpya uliofichua kiwango kikubwa cha kutoridhika kwa umma kuhusu mashambulizi ya kijeshi ya utawala wa Trump ambayo sasa yameendelea kwa zaidi ya miezi mitatu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *