KUOGELEA | Watoto zaidi ya 400 kutoka klabu mbalimbali wameshiriki msimu wa kumi wa mashindano ya mchezo wa kuogelea Tanzania.
Mashindano hayo yanayohusu watoto wenye umri chini ya miaka 12, yamefanyika katika bwawa la shule ya IST, Masaki Dar es Salaam.
Wadau waliohusika kwenye mashindano yam waka huu wameeleza jinsi walivyovuka malengo pamoja na utofauti wa mashindano ya mwaka huu na miaka iliyopita..
naye mmoja kati ya wazazi wa watoto walioshiriki ametoa ujumbe kwa wazazi wengine akieleza faida kwa watoto kushiriki mashindano hayo.
(Feed generated with FetchRSS)