KOMBE LA DUNIA | Je, unaikumbuka mechi ambayo Cristiano Ronald alipiga #hattrick kwenye Kombe la Dunia
Ni hii ambayo iko hewani muda huu, Ureno dhidi ya Hispania, mechi ya kundi B ikimalizika kwa sare ya mabao 3-3 katika fainali za mwaka 20218 zilizopigwa nchini Urusi.
Je, ni kipi unakikumbuka kuhusu mechi hii?
NB: Tutakuwa tunakuletea baadhi ya mechi za kihistoria za michuano ya Kombe la Dunia, na leo tumeanza na hii…
Uhondo huu unaupata kupitia chaneli ya #AzamSports2HD
Michuano ya #FIFAWorldCup2026 itaanza Juni 11 hadi Julai 19, 2026 na kuruka LIVE kupitia chaneli za #AzamSports
#FWC26 #FIFAWorldCup #WeAre26 #FIFAWorldCup2026NyumbaniAzamTV #MechiZote104LiveAzamTV

(Feed generated with FetchRSS)