Jumuiya za shule za msingi na sekondari zimeshauriwa kuanza kutengeneza miradi ya bustani nyumba ‘Green houses’ ili kupata uhakika wa mboga mboga na lishe kwa ajili ya chakula cha wanafunzi kwa wakati wote wanapokuwa shuleni.

Taarifa ya Sammy Kisika.

Mhariri @moseskwindi

#AzamTVUpdates

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *