“Katika kuimarisha usalama wa chakula katika nchi zote mbili katika muelekeo huu nimeikaribisha Singapore kuwekeza nchini katika kilimo cha uzalishaji kupitia utaratibu wa kuzalisha nje ya nchi,” Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.
(Feed generated with FetchRSS)