Chuo cha Elimu ya Biashara CBE kimejipanga kufanya mabadiliko ya mitaala tisa kwa lengo la kubadili mfumo wa ufundishaji utakaojielekeza Zaidi kwenye vitendo badala ya nadharia hatua ambayo itasaidia wahitimu kuendana na mabadiliko ya sayansi na teknolojia Pamoja na sera ya elimu yenye kuwajenga wanafunzi waweze kujitegemea na kujiarika sokoni.

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *