Soko la Hisa la Dar es s Salaam (DSE) limewataka wawekezaji kuhakikisha wanapata uelewa wa mapema kabla ya kuwekeza sehemu yoyote ili kuepuka usumbufu kwa kupewa elimu sahihi itakayoonesha changamoto na faida zake bila kificho ili wawekezaji watambue namna za kuchagua.�

Hayo yamebainishwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa DSE, Peter Nalitolela katika mkutano wa mwaka wa 2026 wa wanahisa wa kampuni ya hiyo (DSE Plc) na kuidhinisha gawio la kawaida la TZS 69.00 kwa kila hisa kutokana na faida baada ya kodi zilizopatikana mwaka 2025.

Sambamba na CEO wa DSE pia Mwanasheria Mkuu na Katibu wa Bodi, Mary Mniwasa na Mwenyekiti wa Bodi Daniel Ole Sumayan pia wameweka mkazo kwenye utaalamu unaohitajika kwa ajili ya uwekezaji.��

Mhariri @moseskwindi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *