Wengi waliiona Cape Verde kama timu ndogo tu kwenye World Cup lakini “Blue Sharks” wameamua kuushangaza ulimwengu 🌍⚽🔥

Nchi yenye watu tqkribani laki 6 imeingia World Cup kwa mara ya kwanza kabisa na tayari imeandika historia baada ya kutoka sare ya 0-0 dhidi ya Spain 😳🇨🇻

Kilichowavuta wengi zaidi ni moyo wao wa kupambana. Wachezaji wengi wa timu hii wamekulia Ulaya lakini bado wamechagua kuitumikia Cape Verde ❤️

Goalkeeper wao mwenye miaka 40, Vozinha, alikuwa kama ukuta dhidi ya Spain huku captain Ryan Mendes akiongoza timu kwa experience kubwa 💪🔥

Kutoka kuwa underdogs mpaka kuwafanya watu waanze kuwaheshimu duniani… Cape Verde wanaonyesha kwamba kwenye mpira jina kubwa sio kila kitu 🙌⚽

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *