“Baada ya dhiki, faraja” ndivyo tulivyofunzwa na tumelishuhudia hilo mara kadhaa maishani.
Na hivyo ndivyo zaidi ya wakazi 19,000 wa vijiji vitatu vya kata ya Ruaha Mbuyuni wilayani Kilolo mkoani Iringa wanavyotarajia kuiona faraja baada ya kuishi na dhiki ya miaka mingi katika kilimo.
Muhammad Nyaulingo ameandaa taarifa yenye undani zaidi.
Mhariri @moseskwindi
#AzamTVUpdates
(Feed generated with FetchRSS)