#KombeLaDunia2026: “Hawa watakwenda kupimwa”
Mchambuzi wa soka @james_samwel31 ameshangazwa na nguvu waliyokuwanayo Paraguay kiasi cha kuweza kucheza muda mrefu wakiwa pungufu na hawajatetereka.
FT: Uturuki 0-1 Paraguay
Tulikuwa LIVE #AzamSports2HD kwa Kiswahili, na #AzamSports4HD kwa Kiingereza
#FWC26 #FIFAWorldCup #WeAre26 #FIFAWorldCup2026NyumbaniAzamTV ##MechiZote104LiveAzamTV #TurkeyVsParaguay
(Feed generated with FetchRSS)