#KombeLaDunia2026: Mchambuzi Brian Tuka anasema ajira ya kocha wa Uturuki ipo mashakani baada ya matokeo ya leo dhidi ya Paraguay ambayo ilicheza pungufu baada ya kadi nyekundu.
FT: Uturuki 0-1 Paraguay
Tulikuwa LIVE #AzamSports2HD kwa Kiswahili, na #AzamSports4HD kwa Kiingereza
#FWC26 #FIFAWorldCup #WeAre26 #FIFAWorldCup2026NyumbaniAzamTV ##MechiZote104LiveAzamTV #TurkeyVsParaguay
(Feed generated with FetchRSS)