πŸ”₯ SIKU ZIMEBAKI CHACHE, USIKUBALI KUKOSA MAC D HALF MARATHON 2026 πŸ”₯
Uko tayari kukimbia na vibe za nguvu? πŸ’ͺπŸΎπŸƒπŸΎβ€β™‚οΈ
Hii ndiyo nafasi yako kushiriki Mac D Half Marathon tarehe 4 July 2026 katika viwanja vya NDC Kunduchi – Dar es Salaam.
Chagua category yako:
βœ… 21KM – Half Marathon
βœ… 10KM – Social Run
βœ… 5KM – Fun Run
βœ… 2.5KM – Kids Run
Usikose nafasi! Jisajili mapema kwa TZS 35,000 tu kupitia:
🌐 www.macdmarathon.com⁠
Ukishajisajili, utapata:
🎽 T-shirt
πŸŽ’ Kitbag
πŸ”’ Bib Number
🎫 Wristband
πŸ… Medal baada ya kumaliza mbio
πŸ“ž Kwa msaada au maelezo zaidi:
0702562009 / 0791799848
Mgeni rasmi ni Mhe. Kassim Majaliwa (Waziri Mkuu Mstaafu) *MAC D MARATHON 2026 – SIO TU MBIO, NI EXPERIENCE!* Burudani kabambe kutoka kwa FM Academia Itasimamiwa na PATCHO MWAMBAπŸ”₯πŸƒπŸΎβ€β™€οΈπŸ”₯

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *