Zaidi ya watu 164 wameripotiwa kufariki na zaidi ya 900 kujeruhiwa kufuatia matetemeko mawili makubwa ya ardhi yaliyoikumba Venezuela, kwa mujibu wa taarifa za serikali.
Taarifa hizo zinasema shughuli za uokoaji bado zinaendelea katika maeneo yaliyoathirika huku hofu ya kuwepo kwa watu waliofukiwa chini ya vifusi ikiendelea.
Wakati huo huo, Marekani na China zimeonesha nia ya kutoa msaada wa kibinadamu kusaidia shughuli za uokoaji na misaada kwa waathirika wa janga hilo.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi
(Feed generated with FetchRSS)