#HABARI: Msafara wa mamia ya makundi mbalimbali ya wakazi wa mkoa wa Tabora wameanza safari ya kuelekea Shirati – Rorya Mkoa wa Mara kwa ajili ya kushiriki mazishi ya aliyekuwa kamanda wa Jeshi la polisi mkoa wa Tabora SACP Richard Abwao.

Kamanda Abwao alifariki Juni 20 2026 wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili ambapo mwili wake uliagwa kwa heshima Jijini Dar es Salaam, Mkoani Morogoro kisha Tabora kabla ya kusafirishwa kijijini kwao Shirati Rorya mkoani Mara kwa ajili ya mazishi yanayotarajiwa kufanyika kesho Juni 26, 2026.

Powered by #MCHEZOSUPA

‎JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
‎-
‎Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

‎#ITVDigital #ITVUpdates ITVTanzania
‎Follow ITV TANZANIA RadioOne Tanzania
‎Capitalradio Tanzania

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *